Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yona 3:4, 5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Ndipo Yona akaingia jijini, akatembea safari ya siku moja akitangaza hivi: “Bado siku 40 tu, jiji la Ninawi litaangamizwa.”

      5 Watu wa Ninawi wakamwamini Mungu,+ nao wakatangaza watu wafunge na kuvaa magunia, kuanzia aliye mkubwa zaidi hadi aliye mdogo zaidi.

  • Mathayo 11:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 “Ole wako, Korazini! Ole wako, Bethsaida! kwa sababu kama matendo yenye nguvu yaliyofanywa kwenu yangefanywa huko Tiro na Sidoni, watu wa majiji hayo wangekuwa wametubu zamani katika nguo za magunia na katika majivu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki