Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 106:39, 40
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Wakawa wachafu kwa sababu ya kazi zao;

      Walifanya ukahaba wa kiroho kwa matendo yao.+

      40 Kwa hiyo hasira ya Yehova ikawaka dhidi ya watu wake,

      Naye akauchukia sana urithi wake.

  • Yeremia 6:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Nakuonya, Ee Yerusalemu, la sivyo nitakuacha* kwa chuki;+

      Nitakufanya uwe ukiwa, nchi isiyo na wakaaji.”+

  • Yeremia 12:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Urithi wangu umekuwa kwangu kama simba msituni.

      Amenguruma dhidi yangu.

      Kwa hiyo nimemchukia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki