Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 27:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Basi kwa njia hii uovu wa Yakobo utafunikwa,+

      Na haya ndiyo yatakayokuwa mazao kamili dhambi yake itakapoondolewa:

      Atayafanya mawe yote ya madhabahu

      Yawe kama mawe ya chokaa yaliyopondwa na kuwa ungaunga,

      Na hakuna miti mitakatifu* au vinara vya uvumba vitakavyobaki.+

  • Ezekieli 16:41
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Wataziteketeza nyumba zako kwa moto+ na kutekeleza hukumu dhidi yako mbele ya macho ya wanawake wengi; nami nitakomesha ukahaba wako,+ nawe utaacha kutoa malipo.

  • Ezekieli 22:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Nitakutawanya miongoni mwa mataifa na kukutawanya katika nchi hizo,+ nami nitakomesha uchafu wako.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki