Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 16:36, 37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anasema hivi: ‘Kwa sababu uchu wako umemwagwa na uchi wako umefunuliwa ulipokuwa ukifanya ukahaba na wapenzi wako na sanamu zako zote zinazoudhi na kuchukiza*+ ambazo hata ulizitolea dhabihu ya damu ya wanao,+ 37 kwa hiyo ninawakusanya pamoja wapenzi wote ambao umewapa raha, wote uliowapenda na wote uliowachukia. Nitawakusanya pamoja dhidi yako kutoka pande zote na kuwafunulia uchi wako, nao watakuona ukiwa uchi kabisa.+

  • Ezekieli 16:39
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Nitakutia mikononi mwao, nao watavibomoa vilima vyako, na mahali pako pa juu patabomolewa;+ nao watakuvua mavazi yako+ na kuchukua vito vyako* maridadi+ na kukuacha uchi, bila chochote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki