Isaya 65:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Lakini ninyi ni kati ya wale wanaomwacha Yehova,+Wanaousahau mlima wangu mtakatifu,+Wanaoandaa meza kwa ajili ya mungu wa Bahati Njema,Na wale wanaovijaza vikombe divai iliyochanganywa kwa ajili ya mungu wa Majaliwa.
11 Lakini ninyi ni kati ya wale wanaomwacha Yehova,+Wanaousahau mlima wangu mtakatifu,+Wanaoandaa meza kwa ajili ya mungu wa Bahati Njema,Na wale wanaovijaza vikombe divai iliyochanganywa kwa ajili ya mungu wa Majaliwa.