Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 23:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Ona aibu, Ee Sidoni, ngome ya bahari,

      Kwa sababu bahari imesema:

      “Sijapata uchungu wa kuzaa, nami sijazaa,

      Wala sijalea vijana wa kiume wala wa kike.”*+

  • Yeremia 25:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Basi nikakichukua kile kikombe kutoka mkononi mwa Yehova na kuyanywesha mataifa yote ambayo Yehova alinituma kwao:+

  • Yeremia 25:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 wafalme wote wa Tiro, wafalme wote wa Sidoni,+ na wafalme wa kisiwa kilicho baharini;

  • Ezekieli 32:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 “‘Wakuu* wote wa kaskazini wako huko, pamoja na Wasidoni wote,+ ambao wameshuka kwa aibu pamoja na waliouawa, ingawa walisababisha hofu kwa nguvu zao. Watalala wakiwa hawajatahiriwa pamoja na wale waliouawa kwa upanga nao watabeba aibu yao pamoja na wale wanaoshuka chini shimoni.*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki