Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 46:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Tayarisha mzigo wako kwa ajili ya uhamisho,

      Ewe binti unayekaa Misri.

      Kwa maana Nofu* itakuwa kitu cha kutisha;

      Itawashwa moto* na kuachwa bila mkaaji.+

  • Ezekieli 29:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Nitaifanya nchi ya Misri iwe nchi yenye ukiwa kuliko nchi zote, na majiji yake yatakuwa majiji yenye ukiwa kuliko majiji yote kwa miaka 40;+ nami nitawatawanya Wamisri miongoni mwa mataifa na kuwatawanya katika nchi mbalimbali.”+

  • Ezekieli 32:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “Mwana wa binadamu, uombolezee umati wa Misri nawe umshushe kwenye nchi iliyo chini, yeye na mabinti wa mataifa yenye nguvu, pamoja na wale wanaoshuka chini shimoni.*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki