-
Danieli 5:2, 3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Alipokuwa amelewa, Belshaza akaagiza vyombo vya dhahabu na vya fedha ambavyo Nebukadneza baba yake alikuwa amevichukua kutoka katika hekalu la Yerusalemu viletwe,+ ili avitumie kunywea divai pamoja na wakuu wake, masuria wake, na wake zake wadogo. 3 Basi wakaleta vyombo vya dhahabu vilivyochukuliwa kutoka katika hekalu la Mungu kule Yerusalemu, na mfalme pamoja na wakuu wake, masuria wake na wake zake wadogo wakavitumia kunywea divai.
-