Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 2:48
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 48 Kisha mfalme akampandisha cheo Danieli na kumpa zawadi nyingi bora, naye akamfanya kuwa mtawala wa mkoa wote wa* Babiloni+ na msimamizi mkuu wa wanaume wote wenye hekima wa Babiloni.

  • Danieli 5:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Lakini nimesikia kukuhusu kwamba unaweza kueleza maana ya mafumbo+ na kutatua matatizo magumu.* Sasa, ukifaulu kusoma maandishi haya na kuniambia maana yake, utavishwa mavazi ya zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni mwako, nawe utakuwa mtawala wa tatu katika ufalme.”+

  • Danieli 5:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Ndipo Belshaza akatoa amri, nao wakamvisha Danieli mavazi ya zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni mwake; wakatangaza kwamba atakuwa mtawala wa tatu katika ufalme.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki