-
Danieli 2:10, 11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Wakaldayo wakamjibu mfalme: “Hakuna mtu yeyote duniani* anayeweza kufanya jambo ambalo wewe mfalme unaagiza, kwa sababu hakuna mfalme yeyote mkuu wala gavana aliyewahi kumwomba kuhani yeyote mchawi, au mtu yeyote anayefanya mazingaombwe, au Mkaldayo afanye jambo kama hili. 11 Jambo ambalo wewe mfalme unaomba ni gumu, na hakuna yeyote anayeweza kukwambia jambo hilo isipokuwa miungu, ambao hawaishi miongoni mwa wanadamu.”*
-