Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 7:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 “Baada ya hayo nikaendelea kutazama katika maono ya usiku, nikaona mnyama wa nne, mwenye kuogopesha na mwenye kutisha, na mwenye nguvu isivyo kawaida, naye alikuwa na meno makubwa ya chuma. Alikuwa akinyafua na kuvunjavunja, na kilichobaki alikikanyaga-kanyaga chini kwa miguu yake.+ Alikuwa tofauti na wanyama wote waliomtangulia, naye alikuwa na pembe kumi.

  • Danieli 7:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 “Kisha nikataka kujua mengi zaidi kuhusu yule mnyama wa nne, ambaye alikuwa tofauti na wale wengine; alikuwa mwenye kuogopesha isivyo kawaida; alikuwa na meno ya chuma na makucha ya shaba, naye alikuwa akinyafua na kuvunjavunja, na kukanyaga-kanyaga chini kwa miguu yake kilichobaki;+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki