Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hosea 10:5, 6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Wakaaji wa Samaria wataogopa kwa sababu ya sanamu ya ndama ya Beth-aveni.+

      Watu wake wataiombolezea,

      Na pia makuhani wa mungu huyo wa kigeni waliokuwa wakiishangilia pamoja na utukufu wake,

      Kwa maana itachukuliwa na kupelekwa uhamishoni.

       6 Itapelekwa Ashuru kama zawadi kwa mfalme mkuu.+

      Waefraimu wataaibishwa,

      Na Waisraeli wataaibika kwa sababu ya ushauri waliofuata.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki