Kumbukumbu la Torati 32:28 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 28 Kwa maana wao ni taifa lisilo na akili,*Na hawana uelewaji miongoni mwao.+ Isaya 1:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Ng’ombe anamjua vizuri aliyemnunua,Na punda anaijua vizuri hori ya mmiliki wake;Lakini Israeli hanijui,*+Watu wangu mwenyewe hawatendi kwa uelewaji.”
3 Ng’ombe anamjua vizuri aliyemnunua,Na punda anaijua vizuri hori ya mmiliki wake;Lakini Israeli hanijui,*+Watu wangu mwenyewe hawatendi kwa uelewaji.”