39 Mtapanda na kupalilia mashamba ya mizabibu, lakini hamtakunywa divai kamwe wala kukusanya zabibu zozote,+ kwa sababu kiwavi atazila. 40 Mtakuwa na mizeituni katika eneo lenu lote, lakini hamtajipaka mafuta yoyote, kwa sababu zeituni zenu zitaanguka.