Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 2:16-18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Badala yake, hili ndilo lililosemwa kupitia nabii Yoeli: 17 ‘“Na katika siku za mwisho,” Mungu asema, “Nitaimimina sehemu ya roho yangu juu ya kila aina ya mwili, na wana wenu na mabinti wenu watatoa unabii, nao wanaume wenu vijana wataona maono, na wanaume wenu wazee wataota ndoto,+ 18 na hata juu ya watumwa wangu wa kiume na watumwa wa kike nitaimimina sehemu ya roho yangu siku hizo, nao watatoa unabii.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki