-
Amosi 4:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova ameapa kwa utakatifu wake,
‘“Tazameni! Siku zinakuja wakati ambapo atawainua juu kwa kulabu za mchinjaji wa wanyama
Na wale watakaobaki kati yenu kwa ndoano za samaki.
-