Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 14:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Mtateseka kwa sababu ya makosa yenu kwa miaka 40,+ sawa na siku 40+ ambazo mliipeleleza nchi, yaani, siku moja kwa mwaka mmoja, siku moja kwa mwaka mmoja, kwa maana mtajionea matokeo ya kunipinga mimi.*

  • Kumbukumbu la Torati 2:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kwa maana Yehova Mungu wenu amewabariki katika mambo yote mliyofanya. Anajua vizuri kabisa safari yenu katika nyika hii kubwa. Yehova Mungu wenu amekuwa pamoja nanyi kwa miaka hii 40, nanyi hamjakosa kitu chochote.”’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki