Luka 12:53 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 53 Watagawanyika, baba dhidi ya mwana, mwana dhidi ya baba, mama dhidi ya binti, binti dhidi ya mama, mama mkwe dhidi ya binti mkwe, na binti mkwe dhidi ya mama mkwe.”+
53 Watagawanyika, baba dhidi ya mwana, mwana dhidi ya baba, mama dhidi ya binti, binti dhidi ya mama, mama mkwe dhidi ya binti mkwe, na binti mkwe dhidi ya mama mkwe.”+