Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:28, 29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Yehova atawaletea kichaa na upofu+ na kuwafanya mchanganyikiwe.* 29 Mtapapasa-papasa wakati wa adhuhuri, kama kipofu anavyopapasa-papasa gizani,+ nanyi hamtafanikiwa katika jambo lolote mnalofanya; na watu watawalaghai na kuwanyang’anya vitu vyenu daima, na hakuna atakayewaokoa.+

  • Isaya 59:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Ndiyo sababu haki iko mbali sana nasi,

      Na uadilifu hautufikii na kututangulia.

      Tunaendelea kutumainia nuru, lakini, tazama! kuna giza;

      Kutumainia mwangaza, lakini tunaendelea kutembea katika utusitusi.+

      10 Tunapapasa-papasa tukiutafuta ukuta kama vipofu;

      Tunaendelea kupapasa-papasa kama watu wasio na macho.+

      Tunajikwaa wakati wa adhuhuri kama wakati wa giza la jioni;

      Miongoni mwa wenye nguvu sisi ni kama tu watu waliokufa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki