Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mika 4:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 “Siku hiyo,” asema Yehova,

      “Nitamkusanya yule aliyekuwa akichechemea,

      Na kumkusanya pamoja yule aliyetawanyika,+

      Pamoja na wale niliowatesa.

       7 Nitamfanya yule aliyekuwa akichechemea abaki,+

      Na yule aliyepelekwa mbali kuwa taifa lenye nguvu;+

      Na Yehova atawatawala akiwa mfalme katika Mlima Sayuni,

      Kuanzia sasa mpaka milele.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki