Hagai 1:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Mmepanda mbegu nyingi, lakini mnavuna kidogo.+ Mnakula, lakini hamshibi. Mnakunywa, lakini hamtosheki. Mnavaa nguo, lakini hakuna yeyote anayepata joto. Kibarua huweka mshahara wake katika mfuko uliojaa mashimo.’”
6 Mmepanda mbegu nyingi, lakini mnavuna kidogo.+ Mnakula, lakini hamshibi. Mnakunywa, lakini hamtosheki. Mnavaa nguo, lakini hakuna yeyote anayepata joto. Kibarua huweka mshahara wake katika mfuko uliojaa mashimo.’”