Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 12:51-53
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 51 Je, mnafikiri nilikuja kuleta amani duniani? Hapana, si amani bali mgawanyiko.+ 52 Kuanzia sasa kutakuwa na watu watano katika nyumba moja waliogawanyika, watatu dhidi ya wawili na wawili dhidi ya watatu. 53 Watagawanyika, baba dhidi ya mwana, mwana dhidi ya baba, mama dhidi ya binti, binti dhidi ya mama, mama mkwe dhidi ya binti mkwe, na binti mkwe dhidi ya mama mkwe.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki