-
Wafilipi 3:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Isitoshe, kwa kweli ninaviona vitu vyote kuwa hasara kwa sababu ya thamani bora zaidi ya kumjua Kristo Yesu Bwana wangu. Kwa ajili yake nimekubali hasara ya vitu vyote nami ninaviona kuwa takataka nyingi, ili niweze kumpata Kristo
-