Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 7:18-23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Basi akawaambia: “Je, ninyi pia hamwelewi kama wao? Je, hamjui kwamba mtu hawezi kuchafuliwa na kitu kinachoingia ndani yake, 19 kwa kuwa hakiingii moyoni mwake bali huingia tumboni, kisha hutoka na kuingia chooni?” Kwa hiyo akatangaza vyakula vyote kuwa safi. 20 Tena akasema: “Kile kinachotoka ndani ya mtu ndicho humchafua.+ 21 Kwa maana kutoka ndani, moyoni mwa watu,+ hutoka mawazo mabaya: uasherati,* wizi, mauaji, 22 uzinzi, pupa, uovu, udanganyifu, mwenendo mpotovu,* jicho lenye wivu, makufuru, majivuno, na ukosefu wa akili. 23 Mambo hayo yote maovu hutoka ndani, nayo humchafua mtu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki