Yohana 1:25, 26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Basi wakamuuliza: “Kwa nini unabatiza ikiwa wewe si Kristo au Eliya au yule Nabii?” 26 Yohana akawajibu: “Mimi ninabatiza katika maji. Kuna mtu aliyesimama miongoni mwenu msiyemjua,
25 Basi wakamuuliza: “Kwa nini unabatiza ikiwa wewe si Kristo au Eliya au yule Nabii?” 26 Yohana akawajibu: “Mimi ninabatiza katika maji. Kuna mtu aliyesimama miongoni mwenu msiyemjua,