Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 19:36-38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Alipokuwa akienda walikuwa wakitandaza mavazi yao ya nje barabarani.+ 37 Alipokaribia tu barabara ya kushuka Mlima wa Mizeituni umati wote wa wanafunzi ukaanza kushangilia na kumsifu Mungu kwa sauti kubwa kwa sababu ya matendo yote yenye nguvu ambayo walikuwa wameona, 38 na kusema: “Amebarikiwa yule anayekuja akiwa Mfalme katika jina la Yehova!* Amani mbinguni, na utukufu katika vilele vilivyo juu!”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki