Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 13:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Yerusalemu, Yerusalemu, muuaji wa manabii na aliyewapiga mawe wale waliotumwa kwake+—nilijaribu mara ngapi kuwakusanya watoto wako, kama vile kuku anavyokusanya vifaranga wake chini ya mabawa yake! Lakini hamkutaka.+

  • Luka 19:41, 42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Alipokaribia jiji la Yerusalemu, akalitazama na kulililia,+ 42 akisema: “Kama wewe, naam wewe, ungefahamu leo mambo yanayokuletea amani—lakini sasa yamefichwa kutoka machoni pako.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki