-
Marko 14:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Kwa kweli ninawaambia, sitakunywa tena kamwe divai ya mzabibu mpaka siku nitakapokunywa ikiwa mpya katika Ufalme wa Mungu.”
-
-
Luka 22:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 kwa maana ninawaambia, kuanzia sasa sitakunywa tena divai ya mzabibu mpaka Ufalme wa Mungu utakapokuja.”
-