Yohana 18:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 lakini Petro alikuwa amesimama nje kwenye mlango.* Basi yule mwanafunzi mwingine, aliyejulikana na kuhani mkuu, akatoka nje na kuzungumza na mlinzi wa mlango, akamwingiza Petro ndani.
16 lakini Petro alikuwa amesimama nje kwenye mlango.* Basi yule mwanafunzi mwingine, aliyejulikana na kuhani mkuu, akatoka nje na kuzungumza na mlinzi wa mlango, akamwingiza Petro ndani.