Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 14:55-59
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 55 Sasa wakuu wa makuhani na Sanhedrini yote walikuwa wakitafuta ushahidi dhidi ya Yesu ili wamuue, lakini hawakupata.+ 56 Kwa kweli, wengi walikuwa wakitoa ushahidi wa uwongo kumhusu,+ lakini ushahidi wao haukupatana. 57 Pia, wengine walikuwa wakisimama na kutoa ushahidi wa uwongo kumhusu, wakisema: 58 “Tulimsikia akisema, ‘Nitaliangusha chini hekalu hili lililojengwa kwa mikono, na kwa siku tatu nitajenga lingine ambalo halijajengwa kwa mikono.’”+ 59 Lakini hata kwa misingi hiyo, ushahidi wao haukupatana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki