Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 15:16-20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Sasa wanajeshi wakampeleka kwenye ua, katika makao ya gavana, nao wakakusanya kikosi chote cha wanajeshi.+ 17 Wakamvika Yesu vazi la zambarau, wakasokota taji la miiba na kumvisha; 18 nao wakaanza kumwambia kwa sauti kubwa: “Salamu,* ewe Mfalme wa Wayahudi!”+ 19 Pia, walikuwa wakimpiga kichwani kwa utete na kumtemea mate, nao wakapiga magoti na kumsujudia.* 20 Mwishowe, baada ya kumdhihaki, wakamvua lile vazi la zambarau na kumvisha mavazi yake ya nje. Kisha wakampeleka ili kumtundika mtini.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki