Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:27-31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Ndipo wanajeshi wa gavana wakampeleka Yesu katika makao ya gavana, wakakusanya kikosi chote cha wanajeshi kumzunguka.+ 28 Wakamvua kanzu yake na kumvisha joho jekundu,+ 29 kisha wakasokota taji la miiba na kumvisha kichwani na kutia utete kwenye mkono wake wa kuume. Wakampigia magoti, wakamdhihaki wakisema: “Salamu,* ewe Mfalme wa Wayahudi!” 30 Wakamtemea mate+ na kuuchukua ule utete, wakaanza kumpiga kichwani. 31 Mwishowe, baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho wakamvisha mavazi yake ya nje, wakampeleka akatundikwe mtini.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki