Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 4:14, 15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Basi Yesu akarudi Galilaya+ katika nguvu za roho. Na habari nzuri kumhusu zikaenea katika maeneo yote yaliyo karibu. 15 Pia, akaanza kufundisha katika masinagogi yao, naye akaheshimiwa na watu wote.

  • Luka 8:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Muda mfupi baadaye Yesu akasafiri kutoka jiji mpaka jiji na kijiji mpaka kijiji, akihubiri na kutangaza habari njema ya Ufalme wa Mungu.+ Wale 12 walikuwa pamoja naye,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki