Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 8:50
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 50 Yesu aliposikia hilo akamwambia: “Usiogope, uwe tu na imani, naye ataokolewa.”+

  • Yohana 11:39, 40
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Yesu akasema: “Liondoeni jiwe.” Martha, dada ya yule aliyekufa akamwambia: “Bwana, kufikia sasa lazima awe ananuka, kwa maana ni siku nne.” 40 Yesu akamwambia: “Je, sikukuambia kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki