-
Mwanzo 40:20-22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Sasa siku ya tatu ilikuwa sikukuu ya kuzaliwa kwa Farao,+ kwa hiyo aliwafanyia karamu watumishi wake wote, akamtoa gerezani msimamizi mkuu wa vinywaji na mwokaji mkuu, akawaleta mbele ya watumishi wake. 21 Akamrudisha msimamizi mkuu wa vinywaji kwenye cheo chake, akaendelea kumpa Farao kikombe. 22 Lakini akamtundika mwokaji mkuu, kama Yosefu alivyokuwa ameeleza.*+
-