-
Mathayo 21:41Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
41 Wakamwambia: “Kwa sababu ni waovu, atawaangamiza kabisa na kulikodisha shamba la mizabibu kwa wakulima wengine, ambao watampa matunda yatakapoiva.”
-
-
Mathayo 21:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Ndiyo sababu ninawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa taifa linalozaa matunda yake.
-