Mathayo 26:65, 66 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 65 Ndipo kuhani mkuu akayararua mavazi yake ya nje, akisema: “Amekufuru! Tunahitaji mashahidi wengine wa nini? Tazama! Sasa mmemsikia akikufuru. 66 Mnaonaje?” Wakamjibu: “Anastahili kufa.”+
65 Ndipo kuhani mkuu akayararua mavazi yake ya nje, akisema: “Amekufuru! Tunahitaji mashahidi wengine wa nini? Tazama! Sasa mmemsikia akikufuru. 66 Mnaonaje?” Wakamjibu: “Anastahili kufa.”+