Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 22:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Wanagawana mavazi yangu,

      Nao wanalipigia kura vazi langu.+

  • Yohana 19:23, 24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Baada ya wanajeshi kumtundika Yesu kwenye mti, wakachukua mavazi yake ya nje na kuyagawanya vipande vinne, kila askari kipande kimoja, na pia wakachukua vazi la ndani. Lakini vazi la ndani halikuwa na mshono, lilikuwa limefumwa kutoka juu mpaka chini. 24 Basi wakaambiana: “Tusilirarue, badala yake tupige kura ili tuamue litakuwa la nani.”+ Hilo lilitimiza andiko linalosema: “Waligawana mavazi yangu, na wakalipigia kura vazi langu.”+ Kwa kweli, hivyo ndivyo walivyofanya wale wanajeshi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki