Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 14:1-3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Siku moja ya Sabato, Yesu alienda kula chakula katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Mafarisayo, nao walikuwa wakimtazama sana. 2 Tazama! mbele yake kulikuwa na mtu mwenye ugonjwa wa kuvimba mwili.* 3 Basi Yesu akawauliza wale wenye ujuzi wa Sheria na Mafarisayo: “Je, ni halali au si halali kumponya mtu siku ya Sabato?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki