1 Wafalme 17:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Eliya akamchukua mtoto huyo, akamleta chini kutoka katika kile chumba cha darini, akampa mama yake; Eliya akasema: “Tazama, mwana wako yuko hai.”+ 2 Wafalme 4:36 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 36 Sasa akamwita Gehazi na kumwambia: “Mwite yule mwanamke Mshunamu.” Basi akamwita, naye akaja. Ndipo Elisha akamwambia: “Mchukue mwanao.”+
23 Eliya akamchukua mtoto huyo, akamleta chini kutoka katika kile chumba cha darini, akampa mama yake; Eliya akasema: “Tazama, mwana wako yuko hai.”+
36 Sasa akamwita Gehazi na kumwambia: “Mwite yule mwanamke Mshunamu.” Basi akamwita, naye akaja. Ndipo Elisha akamwambia: “Mchukue mwanao.”+