Mathayo 7:9, 10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Kwa kweli, ni nani miongoni mwenu ambaye mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? 10 Au akimwomba samaki, je, atampa nyoka?
9 Kwa kweli, ni nani miongoni mwenu ambaye mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? 10 Au akimwomba samaki, je, atampa nyoka?