Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 6:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Basi unapotoa zawadi za rehema,* usipige tarumbeta mbele yako kama wanavyofanya wanafiki katika masinagogi na barabarani, ili wasifiwe na watu. Kwa kweli ninawaambia, wanapata thawabu yao kikamili.

  • Mathayo 23:27, 28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 “Ole wenu, waandishi na Mafarisayo wanafiki!+ kwa sababu mnafanana na makaburi yaliyopakwa chokaa,+ ambayo kwa nje yanapendeza lakini ndani yamejaa mifupa ya wafu na kila namna ya uchafu. 28 Vivyo hivyo, kwa nje mnaonekana waadilifu kwa watu, lakini ndani mmejaa unafiki na uasi sheria.+

  • Luka 18:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Pia, aliwaambia mfano huu wale waliojiona kuwa waadilifu na kuwadharau wengine:

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki