24 Kisha mfalme wa Ashuru akawaleta watu kutoka Babiloni, Kutha, Ava, Hamathi, na Sefarvaimu+ na kuwaweka katika majiji ya Samaria ili waishi humo badala ya Waisraeli; nao wakamiliki Samaria na kuishi katika majiji yake.
9 Kwa hiyo mwanamke huyo Msamaria akamuuliza: “Wewe ni Myahudi, nami ni mwanamke Msamaria, unawezaje kuniomba maji ya kunywa?” (Kwa maana Wayahudi hawashirikiani na Wasamaria.)+