3 Katika mwaka wa 15 wa utawala wa Kaisari Tiberio, Pontio Pilato alipokuwa gavana wa Yudea, Herode+ alipokuwa mtawala wa wilaya ya Galilaya, Filipo ndugu yake alipokuwa mtawala wa wilaya ya Iturea na Trakoniti, naye Lisania alipokuwa mtawala wa wilaya ya Abilene,