Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 6:47-51
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 47 Ilipofika jioni, mashua ilikuwa katikati ya bahari, lakini yeye alikuwa peke yake kwenye nchi kavu.+ 48 Alipowaona wanafunzi wake wakitaabika kupiga makasia kwa kuwa upepo ulikuwa ukivuma kinyume chao, usiku karibu kesha la nne* akawaendea akitembea juu ya bahari; lakini alitaka* kuwapita. 49 Walipomwona akitembea juu ya bahari wakafikiri: “Ni mzuka!” Nao wakapaza sauti. 50 Kwa maana wote walimwona, wakahangaika. Lakini mara moja akawaambia: “Jipeni moyo! Ni mimi; msiogope.”+ 51 Kisha akapanda kwenye mashua, na upepo ukatulia. Nao wakashangaa sana,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki