9 Mungu akaendelea kumwambia Abrahamu: “Wewe nawe, unapaswa kushika agano langu, wewe na uzao wako baada yako katika vizazi vyao vyote. 10 Hili ndilo agano langu nililofanya pamoja nawe, ambalo wewe na uzao wako baada yako mtalishika: Kila mwanamume miongoni mwenu ni lazima atahiriwe.+