Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 2:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Hata hivyo, alipokuwa Yerusalemu kwenye sherehe ya Pasaka, watu wengi wakamwamini, kwa sababu waliona miujiza aliyokuwa akifanya.

  • Yohana 8:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Alipokuwa akisema mambo hayo, wengi wakamwamini.

  • Yohana 10:40
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 40 Kisha akaenda tena ng’ambo ya Yordani mpaka mahali ambapo mwanzoni Yohana alikuwa akibatiza watu,+ naye akakaa huko.

  • Yohana 10:42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Na watu wengi hapo wakamwamini Yesu.

  • Yohana 11:45
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 45 Kwa hiyo, Wayahudi wengi waliokuwa wamekuja kwa Maria, wakamwamini Yesu walipoona alichofanya,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki