Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 11:2-4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Huyo Maria ndiye aliyempaka Bwana mafuta yenye marashi na kufuta miguu yake kwa nywele zake;+ Lazaro, ndugu yake ndiye aliyekuwa mgonjwa. 3 Basi dada zake wakamtumia Yesu ujumbe wakisema: “Bwana, ona! yule unayempenda ni mgonjwa.” 4 Lakini Yesu aliposikia hilo akasema: “Lengo la ugonjwa huu si kusababisha kifo, bali ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu,+ ili Mwana wa Mungu atukuzwe kupitia huo.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki