Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 26:74
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 74 Ndipo akaanza kulaani na kuapa: “Simjui mtu huyo!” Na mara moja jogoo akawika.

  • Marko 14:72
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 72 Papo hapo jogoo akawika mara ya pili,+ naye Petro akakumbuka maneno ambayo Yesu alimwambia: “Kabla jogoo hajawika mara mbili, utanikana mara tatu.”+ Naye akalemewa akaanza kulia.

  • Luka 22:60
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 60 Lakini Petro akasema: “Wewe mtu, mimi sielewi unachosema.” Mara tu alipokuwa akisema, jogoo akawika.

  • Yohana 13:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Yesu akajibu: “Je, utatoa uhai wako* kwa ajili yangu? Kwa kweli ninakuambia, kabla ya jogoo kuwika utanikana mara tatu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki