Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 14:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Herode* alikuwa amemkamata Yohana akamfunga na kumtia gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo ndugu yake.+

  • Luka 3:19, 20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Yohana alikuwa amemkaripia Herode mtawala wa wilaya kwa kumchukua Herodia mke wa ndugu yake na kwa sababu ya matendo yote maovu ambayo Herode alikuwa amefanya, 20 aliongeza hili pia kwenye matendo hayo yote: Alimfunga Yohana gerezani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki